Refugee Education Center program wana funga  kwasababu ya Coronavirus (COVID-19)

Goveneri Whitmer ametagaza jyana wusiku kwamba  mwezi watatu 12 ame umua na uamuzi bwenye sio layisi amefunga masomo yote yawanafunzi  na itaedana namasomo  yetu ya refugeedution center program mahali ya 2130 enterprise st se natena 2530 eastern ave se, nikusema  kaziyetu tutakuwa tuna yifanyiya kwenye simu ukikuwa na swali tutapasha kukujibu kwenye simu . kuanzia iyi mwezi ya tatu 12 2020 nisiku abao goveneri ameamua kufunga masomo yawanafunzi wote Michigan, ku azia mwezi watatu  16 2020 wanafunzi wote hawataenda kumasomo.

Tuna raha yakuwa julisha kila mambo igisi inasimama kuhusu iyi virusi natena wame tujulishakama pako wagojwa watatu wenye wako na ire ungojwa ya corona virusi, tuma kuwa na maamuzi yenye sio layisi kuwanafunzi, alakini tutaendeleya kuwasayi dia natawatumishi wetu.

Tunajua kama kuwasayidia nikitucyamana arakini mambo hii ikitokea hakuna kitucyengine unaweza kufanya. Nivizuri Watoto wote na wanafunzi wakuwe fasi  yenye wanarindwa kuriko kwesha shureni nawanpata iyi ugojwa.tunawashukuru sana gisi yakutumikana nasisi  na kupashwa kusikia mahali kama hiyi.

Mupango wetu nikuedelea ku sikia hulu ambao Goveberi  whitmer atasema alakini washapanga kama mwezi wayine 6 wanafunzi wote watarundi kuma somo, nasisi pia apo Refugee education center tuta waruhusu wanafunzi kurundi. Tutaendeleya kuwajurisha igisi mambo yiko nawashabiki wetu, nawatumishi pia.

Nakabura iyi afya hawajya gudua cyakufanya, tuta endereya kuwasaidia na  washabikizetu wa Michigan na mambo yote anaweza kutokeya, nawatumishi wetu wata endereya kuwasayindia kiramara, tunawashauli mwedeleye kujilinda naiyi virusi tusayidie marafiki nawajilani gisi yakujilinda pia hakuna kwikaa karibu namwenza.

Ukikuwa na swali yoyote kuhusu shiriki yetu  karibusana utwandikiye info@refugeeeducationcenter.org unawezi tena nakutwadikia kwa mitadao ya facebook.com/RefugeeGR tena ukitaka hari zengine kuhusu iyi Corona virusi unaweza kweda kwa iyi mutadao   Michigan.gov/coronavirus, accesskent.com/health/corona virus. Htm, and cdc.gov/coronavirus.

Asante kila la heri,

Refugee Education Center